MAGARI YANASIYOTUMIA MAFUTA SASA YAFIKA KENYA

Hii ndiyo Dunia ya Teknolojia bana , Nchi jirani ya Kenya tayari wameshaingia kwenye Teknolojia ya Magari yasiyotumia mafuta hata kidogo. Magari hayo ni magari...

PERUZI KURASA ZA MAGAZETI LEO JULY 23 ( ZIPO PIA KURASA ZA MAGAZETI YA...

Habari katika kurasa za magazeti ya Tanzania leo Julai 23, 2016. Habari kubwa katika magazeti ya leo ni kuhusu Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma...

HILARY CLINTON ATEMBELEA MAKABURI NA WAFIWA WA WALIOUAWA CLUB YA MASHOGA

Hilary Clinton Mgombea Urais kupitia chama cha Democratic cha nchini Marekani ametembelea Makaburi na Familia za wafiwa za watu 49 waliouawa  katika club inayoaminika...

WEMA SEPETU KAMALIZA BEEF NA KAJALA

Inawezekana ile beef iliyokuwa ya moto kati ya Wema na Kajala ikawa imeshakwisha mara baada Wema kumpongeza KAJALA katika siku yake ya kuzaliwa kupitia...

USAIN BOLT AFANYA KWELI DIAMOND LEAGUE LONDON

Usain Bolt mwanariadha huyu kutoka nchini Jamaica ameshinda Kwenye mbio za mita 200 mara baada ya kuibuka kama mshindi wa kwanza katika michuano hiyo...

ACHANA NA STORY YA ZARI KUWA NA WATOTO WENGI,FAHAMU IDADI YA WATOTO WA AKOTHEE

Akothee anayetamba na wimbo wa yuko moyoni amefunguka kupitia East Africa Radio na Tv kuwa kwasasa anawatoto watano na kwasasa ana Mimba ambayo Mungu...

MATOKEO KATI YA ARSENAL NA LENS

HT  LENS ( 1 - 0 )  ARSENAL 50' LENS ( 1 - 0 )  ARSENAL 60' LENS ( 1 - 0 )  ARSENAL 90' LENS (...

ALICHOKISEMA MOURINHO BAADA YA KICHAPO TOKA KWA B.DORTMUND

Mourinho kasema  " Mara Nyingi timu inayoshinda wakati wa maandalizi ya msimu ni timu inayokuwa imejiandaa mapema zaidi na sio Timu Bora" akaanza kuzi Ringanisha...

MANCHESTER UNITED YACHAPWA ZA KUTOSHA NA BORUSSIA DORTMUND HUKO CHINA

Timu ya Manchester United ya Nchini  Uingereza imekubali kichapo kikali ikiwa ni mechi yake ya kwanza ya kirafiki Kujiandaa na Msimu mpya huko nchini...

KOFFI OLOMIDE AMPIGA TEKE DANCER WAKE WA KIKE UWANJA WA NDEGE KENYA

Koffi Olomide Moja kati ya wasanii nguli wa muziki wa Afrika amejikuta akigeuka topic kwenye mitandao ya kijamii mara baada ya kutua Uwanja wa...

MAOMBI YA DIAMOND AKIOMBEA TIFFA ASIWE GAWA GAWA

Diamond kupitia mtandao wake aliandika maneno ambayo ni kama sala akiombea mwanaye asijekuwa gawa gawa kipindi atakapokua.

MATOKEO KATI YA MANCHESTER UNITED NA BORUSSIA DORTMUND

haya hapa matokeo kati ya Manchester United na Borussia Dortmund 15' Manchester United 0 - 0 Borussia Dortmund 20' Manchester United 0 - 1 Borussia Dortmund Gonzalo...

TIMU YA SAMATTA KRC GENK YAFUZU HATUA INAYOFUATA

Timu ya Samatta KRC GENK imefuzu hatua inayofuata mara baada ya kushinda katika mechi yao ya jana, GENK illikubali kichapo cha Goli 2 kwa...

ZIFAHAMU SABABU KUU ZILIZOFANYA BASATA WAFUNGIE WIMBO WA NAY WA MITEGO

Baraza la Sanaa Tanzania  kifupi BASATA, kupitia kwa msemaji wake bwana Kwizela akiongea kupitia kipindi cha Ubaoni cha Efm ameelezeza kuwa sababu kubwa zilizofanya...

UCHAMBUZI : SOKO LA NDANI TAYARI, DAYNA MACHO NA AKILI YAKO VIWAZE KIMATAIFA SASA

Dayna Nyange mwanamuziki ambaye mimi binafsi nilianza kumsikia kwenye wimbo " Mafungu Ya Nyanya " aliomshirikisha Diamond Platnumz wa Kipindi hiko Msanii  Marlaw mzee...

PERUZI KURASA ZA MAGAZETI YA LEO JULY 22(HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA NA MICHEZO)

Habari katika kurasa za magazeti ya Tanzania leo Julai 22, 2016. Habari kubwa kaika magzeti ya leo ni kuhusu mkutano mkuu wa CCM ambao...

Mahakama ya Mafisadi Kuanza hivi karibuni

Dar es Salaam. Mahakama ya Mafisadi inayotarajiwa kuanza hivi karibuni, itaanza na mzigo wa kesi zilizopo kuendeshwa kwa kusuasua. Akizungumza kwenye mahojiano maalumu na Televisheni...

TAARIFA ZA MANCHESTER UNITED KUMHUSU PAUL POGBA

Kupitia mtandao wa Espn umeandika kuwa Kwasasa Manchester United imetuma wawakilishi wake kwenda Italia kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Juventus ili kukamilisha Usajili...