MUONEKANO MPYA WA NYWELE WA RAYMOND (RAYVANNY)

Kupitia mtandao wake wa Instagram Msanii Rayvanny alipost picha hizi zinazoonyesha muonekano wake mpya wa Nywele. Habari nyingine: NAY WA MITEGO NA BASATA WAMALIZANA ILA KWA...

MO DEWJI AWAUMBUA VIONGOZI WA JUU WA SIMBA

Mfanyabiashara Tajiri zaidi  mwenye Umri mdogo Afrika Mohamed Dewji Mo, Ameamua Kuwaumbua viongozi wa Simba. Jana Katika mkutano wa Simba Moja katti ya viongozi wa...

NAY WA MITEGO NA BASATA WAMALIZANA ILA KWA MASHARTI HAYA

Siku chache baada ya BASATA kuufungia wimbo wa Nay Wa Mitego " Pale Kati" Nay wa Mitego ameibuka na Kusema wameshamalizana na BASATA kuhusu...

WASHABIKI WAMJIA JUU FRANK OCEAN BAADA YA JAMBO HILI

Mashabiki wa Frank Ocean imebidi wamjie juu mara baada ya kuchelewa kutoka kwa albamu yake itakayokwenda kwa jina la Boys Don't Cry. Frank Ocean aliwaahidi...

FAHAMU MKWANJA ALIOPATA BEYONCE KWENYE “WORLD FORMATION TOUR” AWAMU YA KWANZA, NI BALAA

Beyonce au kama anavyojiita queen Bey akiwa ndiyo kamaliza Tour yake ya kwanza kati ya nne ambapo hii ya kwanza alipiga show Marekani Kaskazini...

PAPA ATAJA MWANASOKA WAKE MKALI ZAIDI DUNIANI, NI MESSI AU RONALDO? SOMA ZAIDI

Papa wa kanisa katoliki Duniani " Pope Francis "  ametaja mwanasoka ambaye anahisi ndiye mwanasoka bora wa muda wote Duniani. Papa akiwa ziarani nchini...

MWANAFUNZI WA KIKE DARASA LA SABA ATEKETEZA SHULE KWA MOTO

Mwanafunzi mmoja wa kike ambaye anasoma darasa la saba katika shule ya  WASICHANA ya St. Augustine iliyoko jijini Mombasa huko nchini Kenya  ameteketeza Bweni...

TETESI ZA USAJILI MAJUU LEO AUGUST 1 ILIVYOANDIKWA KATIKA MAGAZETI MBALIMBALI UINGEREZA

Manchester bado wanaamini ishu ya Pogba itamalizika na kiungo huyo kusaini mkataba wa miaka 5 kukipiga Manchester United,na Inaelezwa bado kidogo masuala yote yakamilike...

MR. T TOUCH AELEZA SABABU KUU ZA UGOMVI WAKE NA NAY WA MITEGO

Producer Mr. T Touch amefunga sababu kuu iliyofanya yeye na Nay wa Mitego kutokwenda sawa na kusababisha kuachana na Free Nation na Kuamua kufungua...

LUIS NANI,MCHEZAJI ALIYEPITIA MAISHA YA TAABU KABLA YA KUWA STAR WA SOKA

Baba yake Louis Nani alifariki kipindi ambacho Nani alikuwa na miaka 7. Miaka mitano baadae Mama Yake naye  alifariki Nani akiwa na miaka 12.    Habari...

KUELEKEA LIGI KUU YA EPL,FAHAMU TORRES KATABIRIA TIMU GANI KUCHUKUA UBINGWA

Mcheza Fernando Torres ambaye kwasasa anakipiga katika club ya Atletico Madrid ya nchini Hispania ameitabiria  Club Ya Tottenham Kubeba ndoo ya Ligi kuu ya...

KUTANA NA MUONEKANO WA NYWELE MESSI NA RAMOS WA ZAMANI NA WASASA,WANATAKA KUFANANA

Messi na Ramos zamani ni kama walikuwa na style moja ya uwekaji wa nywele na sasa pia imekuwa kama wanataka tena kufanana kwenye style...

TETESI ZA USAJILI LEO JULY 31

Boss wa Chelsea Antonio Conte yuko tayari kuvunja kibubu na kuongeza kiwango cha pesa mpaka pound million 60 ili kumsajili Romelu Lukaku mara baada...

WAKUBWA WANAFAIDI: ONA BARAKA DA PRINCE NA NAJ WAKIFANYA YAO

Video hii hapa chini                            [youtube https://www.youtube.com/watch?v=gAHFVmXbYxQ]

DARASSA AZIDI KUWAKOSHA MASHABIKI WAKE BAADA YA KUFANYA HILI

Rapper Darassa Ambaye kwasasa anafanya vizuri kwa nyimbo zake mbili kama utanipenda na Too MUCH amezidi kuwakosha mashabiki wake mara alipopost VIDEO kadhaa  katika...

BAADA YA USHINDI MZITO WA JANA,FAHAMU ALICHOKISEMA IBRAHIMOVIC KUHUSU POGBA

Jana Timu ya Manchester Unnited ilipata ushindi mkubwa wa bao 5 kwa 2 huku Nyota mpya wa timu hiyo Zlatan Ibrahimovic akitumia sekunde 195...

NYIMBO KUMI BORA ZAIDI KWENYE CHART YA EAST AFRICA RADIO

1. Arosto -             G Nako feat Nick II and Chin Beez 2. Pesa Madafu -   Jay Mo 3. Usiende...