Beki kisiki wa Stand United Ali Ali amemtaja mchezaji wake bora wa msimu VPL

Beki kisiki wa Stand United Ali Ali amemtaja mchezaji wake bora wa msimu VPL Ukizungumza mabeki ambao wamekuwa Visiki na makatili kwa kwa washambuliaji wengi...

Matokeo Yanga vs Mbao Fc 22 Mei 2018

Matokeo Yanga vs Mbao Fc 22 Mei 2018 Matokeo Mechi kati ya Yanga dhidi ya Mbao Fc ni mechi ya 28 kwa Yanga Msimu huu...

Kikosi cha Yanga kinachoanza dhidi ya Mbao Fc 22.5.2018

Kikosi cha Yanga kinachoanza dhidi ya Mbao Fc 22.5.2018 Yanga Inashuka Dimbani Leo 22.5.2018 Kucheza mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mbao Fc,...

Washabiki Yanga Kujishindia tiketi Bure kwenda Kenya,Ishu hii hapa

Washabiki Yanga Kujishindia tiketi Bure kwenda Kenya,Ishu hii hapa Kuanzia June 3 hadi 10 Kutakuwa na Michuano ya Sportpesa Super Cup nchini Kenya sasa KLABU...

Kikosi cha Argentina Kombe la Dunia 2018 Urusi

Kikosi cha Argentina Kombe la Dunia 2018 Urusi Kikosi cha Timu ya Taifa ya Argentina kwaajili ya Kombe La Dunia Mwaka Huu 2018 huko Urusi. Tetesi...

Tetesi za Usajili Barani Ulaya 22 May 2018

Tetesi za Usajili Barani Ulaya 22 May 2018 Mshambuliaji wa Paris St-Germain Neymar, 26, amesema wazi wazi anatataka kuondoka Real Madrid msimu huu wa joto...

Achana na Yondani Yanga kumkosa beki wake Kisiki leo dhidi ya Mbao

Achana na Yondani Yanga kumkosa beki wake Kisiki leo dhidi ya Mbao Yanga inaendelea kumkosa beki wake Kelvin Yondani aliyesimamishwa mechi za Ligi Kuu kutokana...

Tetesi za Usajili Simba Leo 22 Mei 2018

Tetesi za Usajili Simba Leo 22 Mei 2018 Kocha aliyeipa Ubingwa Simba Msimu Huu Pierre Lechantre amesema ameshaanza Kufikiria namna kikosi chake kitakavyokuwa kwaajili ya...

Tetesi za Usajili Yanga leo 22 May 2018

Tetesi za Usajili Yanga leo 22 May 2018 Klabu ya Yanga ambayo inajipanga kuimarisha Kikosi chake kwaajili ya Michuano ya Kimataifa na Kwaajili ya Msimu...

Kwa haya matatu lazima Yanga wachekelee leo kwa Mbao Fc

Kwa haya matatu lazima Yanga wachekelee leo kwa Mbao Fc Mabingwa wa Kihistoria wa Tanzania klabu ya Yanga leo itashuka dimbani uwanja wa Taifa Kuvaana...

Magazeti ya Michezo 22 May 2018

Magazeti ya Michezo 22 May 2018                    

Kocha Zahera hajaridhishwa na Kiwango cha Mchezaji Huyu Yanga adai lazima apate mbadala

Kocha Zahera hajaridhishwa na Kiwango cha Mchezaji Huyu Yanga adai lazima apate mbadala Wakati wanaYanga roho zao zikiwa zimetulia kiasi mara baada ya Uongozi kuwathibitishia...

Tamko la Singida United juu ya tetesi za Hans Van Pluijm Kuondoka

Tamko la Singida United juu ya tetesi za Hans Van Pluijm Kuondoka Baada ya Tetesi za muda sasa juu ya Kocha wa Singida United Hans...

Wimbo Mpya wa Lava Lava – Ya Ramadan | Download

Wimbo Mpya wa Lava Lava - Ya Ramadan | Download DOWNLOAD

Kapombe aliyetakiwa avunje mkataba Simba afunguka haya baada ya Ubingwa

Kapombe aliyetakiwa avunje mkataba Simba afunguka haya baada ya Ubingwa Shomari Kapombe ilikuwa ni moja kati ya jina ambalo labda lisengekuwa kwenye kikosi cha Simba...

Tetesi za Usajili Barani Ulaya 21 May 2018

Tetesi za Usajili Barani Ulaya 21 May 2018 Manchester City wanampango wa kumsajili kiungo wa kati wa Chelsea Eden Hazard,27, kwa mkataba wa £100m baada...

Sababu za baba yake Kichuya kumgomea mwanaye kuongeza Mkataba Simba

Sababu za baba yake Kichuya kumgomea mwanaye kuongeza Mkataba Simba Ramadhan Kichuya ni moja kati ya wachezaji wa Simba ambao mikataba yake inamalizika msimu huu...

Video Mpya | Chege Ft. Maka Voice – Damu ya Ujana

Video Mpya | Chege Ft. Maka Voice – Damu ya Ujana [youtube https://www.youtube.com/watch?v=jV7sZYAHBH0]