Yanga , Simba Kupaa Uingereza mchongo huu hapa

Yanga , Simba Kupaa Uingereza mchongo huu hapa

0

Yanga , Simba Kupaa Uingereza mchongo huu hapa

Klabu kongwe nchini Simba na Yanga ni moja kati ya Vilabu vinne kutoka Tanzania ambavyo vinaweza vikapata nafasi ya Kwenda Uingereza kuivaa Klabu ya Everton.

Yanga, Simba, Singida United na JKU ni moja ya Vilabu kutoka Tanzania  ambavyo vitashiriki Michuano maalumu ya SportPesa inayotarajia Kuchezwa mwezi ujao nchini Kenya na Bingwa wa Michuano hiyo atasafiri Uingereza Kumenyana na Everton.

Hivyo Yanga na Simba kama mmojawapo atafanikiwa kubeba Ubingwa Huo basi itakuwa ni nafasi ya Kupaa kwenda Uingereza kuivaa Everton

Msimu uliopita msomaji wa Kwataunit Gor Mahia ndiyo waliokuwa mabingwa wa michuano hiyo na Everton walitua Nchini kucheza na Gor Mahia kutoka Kenya.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY