USAJILI : Achana na Yondani Mchezaji Mwingine wa Yanga ahusishwa Kutua Msimbazi...

USAJILI : Achana na Yondani Mchezaji Mwingine wa Yanga ahusishwa Kutua Msimbazi ni Huyu

0

USAJILI : Achana na Yondani Mchezaji Mwingine wa Yanga ahusishwa Kutua Msimbazi ni Huyu

Ligi Kuu VPL inaelekea Mwishoni na baadhi ya timu zimeshaanza kuchungulia wachezaji wa kuwaongeza na Wengine kuwapiga Chini.

Imeelezwa kupitia gazeti la Bingwa la Leo Alhamisi Kuwa Simba wapo katika Mipango ya kunasa saini ya Mchezaji wa Yanga Juma Mahadhi.

“Tayari Simba wamezungumza
na mama yake mzazi mara kadhaa
na bado hawajafikia mwafaka ila
mabosi wa timu wanaonekana
hawajakata tamaa,”  kimeeleza Chanzo
Inaelezwa pia Mahadhi anamaliza Mkataba wake na Yanga na amekataa kuongeza mkataba na Simba walipogundua Hilo wameenda Kuchonga na mama yake Mzazi Tima Mahadhi ili kumshawishi Mahadhi.
ALIPOTAFUTWA MAHADHI MWENYEWE HAYA NDIYO YALIKUWA MAJIBU.
Alipotafutwa Juma Mahadhi mwenyewe alijibu hivi.
“Kitu ambacho ninaweza
kukizungumza kwa sasa ni juu
ya maisha yangu binafsi, lakini si
masuala ya mpira,”

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY