TBC kurusha Kombe la Dunia 2018 Urusi

TBC kurusha Kombe la Dunia 2018 Urusi

0

TBC kurusha Kombe la Dunia 2018 Urusi

Shirika la Utangazaji nchini Tanzania TBC itaonyesha kombe la Dunia 2018 nchini Urusi.

Kampuni ya Kwese Free Sports ndiyo iliyoingia mkataba na TBC kuonyesha mechi za Kombe la Dunia.

Chaneli ambayo Itakuwa Ikionyesha ni TBC 1 na TBC Taifa pamoja na TV1 zote pia zikipatikana kupitia king’amuzi cha Star Times

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY