Mkwasa ataja watatu Kimataifa kusajiliwa Yanga

Mkwasa ataja watatu Kimataifa kusajiliwa Yanga

0

Mkwasa ataja watatu Kimataifa kusajiliwa Yanga

Wakati kukiwa na Habari kuwa tayari Lipuli wamekataa kumwachia Mchezaji wake Adam Salamba kwenda Yanga kwaajili ya Kuongeza nguvu michuano ya Kimataifa Yanga wameibuka na Mpya.

Katibu mkuu wa Timu ya Yanga Charles Boniface Mkwasa ” Master ” amefunguka kuwa katika Kuboresha Kikosi cha Yanga tayari wameshaanza mazungumzo na wachezaji watatu wa Kimataifa.

Mkwasa msomaji wa Kwataunit  amesema hataki kuwataja wachezaji hao kutokana na Kuhofia wapinzani wao ambao wamekuwa wanaposikia Yanga inafanya mazungumzo na mchezaji fulani basi wao wanawazunguka na kumalizana nao.

Hata hivyo Yanga tayari imekuwa Ikihusishwa kuwa katika mazungumzo na Mtogo Arafat Djako mshambuliaji wa Welayta Dicha.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY