Matokeo Difaa el Jadidi vs TP Mazembe 15 May 2018

Matokeo Difaa el Jadidi vs TP Mazembe 15 May 2018

0

Matokeo Difaa el Jadidi vs TP Mazembe 15 May 2018

Matokeo Difaa El Jadidi vs Tp Mazembe kombe la Klabu Bingwa barani Afrika leo 15 May 2018

Dakika ya 5

El Jadid 0 – 0 Mazembe

Dakika ya 9 Simon Msuva anapiga Kichwa kipa anadaka

Dakika ya 10

El Jadidi 0 – 0 Mazembe

Difaa wanaonekana kucheza vizuri zaidi ya Tp mazembe katika dakika hizi Kumi za awali.

Dakika ya 18 Free Kick ya Adama Traole inazaa Kona kwa Tp Mazembe

Inapigwa kona na Adama Traole kipa wa Difaa El Jadidi anatoa inakuwa Kona Nyingine

Kabla ya Mpira Kufika tayari kuna madhambi, Mpira Unapigwa Kuelekea Mazembe sasa

Dakika ya 20

Bado 0 – 0

Dakika 25

Difaa El Jadidi 0 – 0  Tp Mazembe

Tp Mazembe wanaonekana kucheza zaidi kwa Kujilinda huku wakicheza mipira Mirefu ya Haraka kipindi wanapopata Mpira, Jadidi wao wanapoupata wanacheza pasi fupi fupi za Mipango

Dakika 30

Difaa El Jadidi 0 – 0 Tp Mazembe

Dakika ya 40

Difaa 0 – 0 Mazembe

HALF TIME

Difaa 0 – 0 Mazembe

KIPINDI CHA PILI

bado mambo ni maumu Difaa 0 – 0 Mazembe

Dakika YA 49 Simon Msuva akiwa yeye na Kipa anapiga Nje

Difaa El Jadida 0 – 0 Tp Mazembe

Dakika ya 50 Ben Malango anaipatia Tp Mazembe bao la Kuongoza

Difaa El Jadidi 0 – 1 Tp Mazembe

Dakika ya 55 Sissoko anaipatia Tp Mazembe goli la Pili makosa ya ulinzi.

Difaa El Jadidi 0 – 2 Tp Mazembe

Dakika ya 60

Difaa El Jadidi 0 – 2 Tp Mazembe

Dakika ya 70

Difaa El Jadidi 0 – 2 Tp Mazembe

Dakika ya 87

Difaa El Jadidi 0 – 2 Tp Mazembe

FULL TIME

Difaa El Jadidi 0 – 2 Tp Mazembe

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY