Majibu ya Lipuli kama wamemalizana na Yanga kwa Adam Salamba

Majibu ya Lipuli kama wamemalizana na Yanga kwa Adam Salamba

0

Majibu ya Lipuli kama wamemalizana na Yanga kwa Adam Salamba

Mara baada ya kuzagaa taarifa kuwa imepokea Maombi ya Yanga kuhusu kumsajili mchezaji wake Adam Salamba ambaye amekuwa Gumzo siku za Karibuni, Lipuli wamezungumza yao.

Timu ya Lipuli kupitia kwa Msemaji wake Clement Sanga imekanusha vikali kuwa imepokea maombi kutoka kwa Yanga kumhusu mchezaji Adam Salamba.

” Tunachoweza kusema sisi kama uongozi wa Lipuli taarifa hizi tunazisikia kutoka vyombo vya habari hususani magazeti lakini hatujapokea taarifa au ombi rasmi kutoka kwa Yanga “

VIPI YANGA WAKIWAFATA WAKO TAYARI KUMWACHIA?

Sanga  Msomaji wa Kwataunit amesema kwasasa bado wanamwitaji sana maana Salamba ni kama Tiba kwa Mgonjwa, na Bado wanamwitaji kwaajili ya Msimu Ujao.

” Huduma yake kwasasa tunapozungumza ni muhimu kweli kweli ni kama tiba kwa mgonjwa na Bado Tunamwitaji kwaajili ya msimu ujao 2018/2019 “

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY