Kauli rasmi ya Yanga kuhusu usajili wa Arafat Djako

Kauli rasmi ya Yanga kuhusu usajili wa Arafat Djako

0

Kauli rasmi ya Yanga kuhusu usajili wa Arafat Djako

Kamati ya usajili klabu ya Yanga chini ya Mwenyekiti wake Hussein nyika imekiri kuwa ilifanya mazungumzo na Nyota wa Wolaita Dicha Mtogo Arafat Djako.

Nyika msomaji wa Kwataunit amesema mazungumzo na Djako yalifikia pazuri na Mwalimu aliyekuwepo George Lwandamina alibariki usajiliĀ  wake lakini kwakuwa kuna Mwalimu mpya basi watasubiri maamuzi yake kama ataridhika.

” Ni kweli yule mchezaji ni mchezaji mzuri na mwalimu aliyekuwepo George Lwandamina alianza kumuona tangia mechi ya awali akanipa kazi ya Kumfatilia kwenye mechi ya Pili nayo akafanya vizuri.” alisema Hussein Nyika

” Kweli kama watu walivyoona niliongea naye yule mchezaji na tulifia pazuri lakini kwakuwa mwalimu mpya amekuja tutamkabidhi jina lake kama ataona anafaa basi Tutamsajili “

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY