Kamusoko atoa ya Moyoni kuelekea mechi dhidi ya Rayon Sports

Kamusoko atoa ya Moyoni kuelekea mechi dhidi ya Rayon Sports

0

Kamusoko atoa ya Moyoni kuelekea mechi dhidi ya Rayon Sports

Kiungo wa Yanga raia wa Zimbabwe Thaban Kamusoko ameandika Ujumbe wenye Busara kuelekea mchezo wa Yanga dhidi ya Rayon SPorts kupitia ukurasa wake wa Instagram

” Mpiganaji wa kweli ataendelea kupigana hata kama ameanguka chini mara moja au hata mara mbili atajitahidi kuendelea mbele, siku,miaka siku zote haziko sawa lakini haviwezi kuwa kama sasa, Kuna muda wa Mabadiliko katika maisha kwasababu kila mtu huwa anamuda wake wa Kung’aa, Tuendelee kwenda mbele wana Yanga, Chamuhimu zaidi Tunashukuru Mungu kwa kila kitu kwasababu Mungu anamakusudi yake. “

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY