Aishi Manula kumpisha Shiza Kichuya Simba

Aishi Manula kumpisha Shiza Kichuya Simba

0

Aishi Manula kumpisha Shiza Kichuya Simba

Mpaka mechi ya Mwisho ya Simba ligi kuu dhidi ya Singida United, Simba ikipata ushindi wa bao 1 kwa 0 Ni wachezaji wawili pekee waliokuwa wanashikiria rekodi ya Kucheza kwenye Kila Mchezo.

Wachezaji hao ni Aishi Manula na Shiza Kichuya ambao toka ligi Kuu msimu Huu 2017/2018 uanze wamecheza kwenye Kila mchezo.

Lakini Aishi Manula anaenda kumpisha Shiza Kichuya na kubaki kuwa mchezaji pekee ndani ya Simba aliyecheza kwenye Kila mchezo kama kocha Pierre Lechantre ataendelea kumchezesha kwenye mechi 2 zilizosalia.

Manula  msomaji wa Kwataunit.com atakosekana katika mchezo unaofuata kutokana na kuwa na Kadi 3 za Njano zinazomfanya Kukosa mchezo dhidi ya Kagera Sugar.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY