DEMO
Abdi Banda dili za Kucheza Ulaya zasogea Mlangoni

Abdi Banda dili za Kucheza Ulaya zasogea Mlangoni

0

Abdi Banda dili za Kucheza Ulaya zasogea Mlangoni

Beki Mtanzania anayecheza katika ligi kuu ya Afrika Kusini klabu ya Baroka Fc  sasa imebainika kuwa kuna Vilabu kadhaa nchini Afrika Kusini viko tayari kufanya naye kazi.

Kuna timu kutoka Afrika Kusini inashiriki ligi daraja la Pili maarufu kama Ligue 2 ligi Kubwa baada ya Ligue 1 Timu hiyo inayojulikana kama Chamois Niortais

Ukiachana na na Hiyo ipo Pia timu inayoshiriki Ligue 1 ambayo bado wakala wake hajaiweka wazi, Banda anasimamiwa na Siyavuma Sports katika masuala yake yote ya Usajili na hata dili hizo za Nje Siyavuma Sports ndiyo wanaoshughulikia.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY