Zipate Hizi mpya kabisa Kutoka kambi ya Yanga nchini Ethiopia

Zipate Hizi mpya kabisa Kutoka kambi ya Yanga nchini Ethiopia

0

Zipate Hizi mpya kabisa Kutoka kambi ya Yanga nchini Ethiopia

Yanga kwasasa ipo nchini Ethiopia kwaajili ya mchezo wao wa Kimataifa, mechi ya Mkondo wa Pili baada ya ile ya Mkondo wa KWANZA kumalizika kwa Yanga kushinda bao 2 kwa 0 uwanja wa Taifa.

Kuelekea Mchezo huo  msomaji wa Kwataunit.com meneja Wa Yanga Hafidh Saleh amesema Kikosi kipo kwenye Hali nzuri na Leo watafanya mazoezi ya Mwisho katika uwanja ambao mechi Itachezwa Kesho huku akisema Kikosi hakina Majeruhi mpaka sasa.

VIPI KUHUSU FIGISU?

Hafidh Saleh alisema Toka wanaingia Ethiopia hawakufanyiwa Figisu yoyote ile mpaka sasa, Hafidh amewasifu Watanzania waliopo Ethiopia kwani wamewapokea Vizuri na wameonyesha Ushirikiano ambao wanautegemea pia Kuelekea mchezo wao wa Kesho.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY