Wachezaji 6 Yanga watakaokosekana dhidi ya Mbeya City leo 22.4.2018

Wachezaji 6 Yanga watakaokosekana dhidi ya Mbeya City leo 22.4.2018

0

Wachezaji 6 Yanga watakaokosekana dhidi ya Mbeya City leo 22.4.2018

Kikosi cha Yanga leo 22 April kitakuwa Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya kucheza na wagonga Nyundo wa Jiji la Mbeya Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu VPL mechi itakayoanza saa kumi kamili.

Yanga Kuelekea mchezo huo itawakosa wachezaji wake ambao ni majeruhi ambao ni Donald Ngoma ambaye ni majeruhi wa muda Mrefu aliyepona lakini akaja kuumia tena Yanga ikiwa Kambini.

Wengine ni Amis Tambwe ambaye naye ni majeruhi wa Muda mrefu na Papy Kabamba Tshishimbi ambaye ni majeruhi akiumia wakati Yanga ikicheza na Welayta Dicha ya Ethiopia.

Wengine  msomaji wa kwataunit.com ni wale walioenda na Timu ya Vijana Ngorongoro Heroes kule Congo ambao ni Ramdhan Kabwili,Edward Maka na Said Mussa.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY