Wachezaji 20 wa Yanga walioondoka Leo kuwafata Welayta Dicha hawa hapa

Wachezaji 20 wa Yanga walioondoka Leo kuwafata Welayta Dicha hawa hapa

0

Wachezaji 20 wa Yanga walioondoka Leo kuwafata Welayta Dicha hawa hapa

Yanga imeondoka leo majira ya saa kumi na Moja alfajiri kuwafata Welayta Dicha Ikiwa na Kikosi cha wachezaji 20.

Kikosi kilichoondoka Leo kimeondoka Bila Nyota wake Ibrahim Ajibu Migomba.

Wachezaji walioondoka Leo ni Makipa Beno Kakolanya, Youthe Rostand.

Mabeki

Hassan kessy, Juma Abdul, Gadiel Michael, Haji Mwinyi, Abdallah Shaibu, Kelvin Yondani na Nadir Haroub Cannavaro.

Wengine ni Viungo, Papy Tshishimbi, Yusuph Mhilu,Raphael Daudi,Pius Buswita,Geofrey Mwashiuya, Said Makapu, Juma Mahadhi, Emmanuel Martin na Thaban kamusoko.

Huku Washambuliaji msomaji wa Kwataunit.com  ni Yohanna Mkomola na Obrey Chirwa.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY