Simba wamemtangaza mchezaji bora wa Mechi dhidi ya Prisons

Simba wamemtangaza mchezaji bora wa Mechi dhidi ya Prisons

0

Simba wamemtangaza mchezaji bora wa Mechi dhidi ya Prisons

Simba Kupitia Kurasa zake za Kijamii kama Twitter, Instagram na Facebook wamemtangaza Mchezaji Yusuph Mlipili kama mchezaji bora wa mechi kati ya Simba na Prisons mchezo ulioisha Kwa Simba Kushinda bao 2 kwa 0

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY