Ratiba Mechi 4 za leo Ligi Kuu VPL 15 April 2018

Ratiba Mechi 4 za leo Ligi Kuu VPL 15 April 2018

0

Ratiba Mechi 4 za leo Ligi Kuu VPL 15 April 2018

LIGI KUU soka ya Tanzania Bara Itaendelea leo kwa Jumla ya mechi 4 kuchezwa katika viwanja vya Miji minne.

Mechi ya Kwanza ni ile kati ya Lipuli Fc Wanapaluhengo watakaokuwa wenyeji wa Singida United saa kumi Jioni pale Samora Stadium mjini Iringa.

Msimamo huu > hapa <

Mechezo mwingine Utakuwa kati ya Mwadui Fc ambao gari linaonekana Limewaka dhidi ya Stand United, Hii ni Shinyanga Darby mechi ikianza saa kumi kamili pia msomaji wa Kwataunit.com

Nao watoto wa Mwanza timu ya Mbao Fc watakuwa wenyeji wa Maji Maji katika uwanja wa CCM Kirumba mechi hii ikianza saa kumi kamili.

Na Mchezo wa wisho kwa Siku ya Leo ukiwa kati ya Azam Fc watakaokuwa wenyeji wa Njombe Mji mechi ikianza saa moja usiku Azam Complex.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY