Prisons wamemtaja mchezaji wa Simba aliyekuwa hatari zaidi kwao,Wasema Hakabiki

Prisons wamemtaja mchezaji wa Simba aliyekuwa hatari zaidi kwao,Wasema Hakabiki

0

Prisons wamemtaja mchezaji wa Simba aliyekuwa hatari zaidi kwao

Moja kati ya Mawinga wa Timu ya Tanzania Prisons Eliuta Mpepo amekiri na Kusema Kuwa Mchezaji Shiza Kichuya ndiye Alikuwa hatari zaidi kwao jana.

Simba walipata Ushindi wa bao 2 kwa 0 Na Eliuta alisema kumkaba Shiza haikuwa rahisi kutokana na aina ya Uchezaji wake wa Kucheza kila eneo la Uwanja hali iliyowafanya kuwa na kazi ngumu ya Kumkaba huku akimsifia Erasto Nyoni upande wa Ulinzi.

 

” Wachezaji wote wa Simba walikuwa hatari kwetu lakini  mtu aliyetuua zaidi ni Shiza Kichuya na Erasto Nyoni kule Nyuma, Shiza ni mzuri sababu anacheza Free huwezi kumkaba anacheza kila sehemu anatoka anaenda Nyumba kwahiyo huwezi kutembea naye ”

Alisema Mpepo ambaye kama unakumbuka Msomaji wa Kwataunit aliwafunga Yanga katika Mchezo wa Kwanza VPL pale Chamazi.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY