Post ya Haji Manara baada ya Yanga Kutinga Makundi Kimataifa

Post ya Haji Manara baada ya Yanga Kutinga Makundi Kimataifa

0

Post ya Haji Manara baada ya Yanga Kutinga Makundi Kimataifa

Mara baada ya Yanga kupata NAFASI ya Kufuzu hatua ya makundi kombe la Shirikisho barani Afrika kwa KUWATOA Welayta Dicha ya Ethiopia kwa matokeo ya jumla ya Bao 2 kwa 1

Afisa Habari wa Timu ya Simba msomaji wa kwataunit.com  Haji Manara ameandika Ujumbe Huu hapo Chini Kupitia Ukurasa wake wa instagram.

 

“Hongera watani zetu Gongowazi kwa kufuzu na kujipatia milioni 600..nadhan sasa mtapunguza madeni hususan lile kuu la bilioni tisa toka kwa Yussuf..na ule mkopo wa tiketi za kwenda huko..bila kusahau hata chembe ile mishahara ya kina Lwandamina na player’s..chenji kama itabaki msisahau kina Tegete nao, tukutane VPL 😁😁 @Yangasc@tegete_jerson #yusufmanji”

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY