Muda wa mechi kwa saa za Tanzania Welayta Dicha vs Yanga 18.4.2018

Muda wa mechi kwa saa za Tanzania Welayta Dicha vs Yanga 18.4.2018

0

Muda wa mechi kwa saa za Tanzania Welayta Dicha vs Yanga 18.4.2018

Jumatano kutakuwa na Mchezo kati ya Welayta Dicha dhidi ya Yanga mchezo utakaochezwa katika mji wa Awassa (Hawassa) Ethiopia mchezo ambao ni wa Marudiano Kombe la Shirikisho barani Afrika.

Katika mchezo wa Kwanza Yanga ikicheza uwanja wa Taifa ilifanikiwa kushinda bao 2 kwa 0 na Yanga tayari wameanza safari ya Kuwafata Welayta Dicha leo Jumapili kwa ajili ya Mchezo huo.

>> Kikosi cha Yanga Kilichoenda Ethiopia Bonyeza Hapa <<

Watu wengi wamekuwa wakihoji juu Ya Muda wa Mechi hiyo Kuanza kwa saa za Tanzania, Msomaji wa kwataunit.com Mechi hiyo ya Marudiano itachezwa  April 18 2018 kuanzia majira ya saa 10 kamili Jioni kwa saa za Afrika Mashariki

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY