Mchezo wa Lipuli vs Simba wasogezwa Mbele

Mchezo wa Lipuli vs Simba wasogezwa Mbele

0

Mchezo wa Lipuli vs Simba wasogezwa Mbele

Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara maarufu zaidi kama Vodacom Premier League kati ya Lipuli Fc Wanapaluhengo dhidi ya Simba Sc ambao ndiyo vinara wa Ligi mpaka sasa Umesogezwa Mbele.

Mchezo huo ulikuwa uchezwe siku ya Jumamosi April 20 lakini sasa mchezo huo msomaji wa Kwataunit.com utachezwa Jumamosi April 21.

Sababu za Mchezo huo kusogezwa mbele ni kuwa na Matumizi mengine ambapo mmiliki wa Uwanja Chama cha Mapinduzi kimeiomba Bodi ya Ligi isogeze mbele mchezo huo kutokana na Uwanja kuwa na Matumizi mengine.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY