Matokeo Serengeti Boys Vs Uganda 15 April 2018

Matokeo Serengeti Boys Vs Uganda 15 April 2018

0

Matokeo Serengeti Boys Vs Uganda 15 April 2018

Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya Miaka 17  Serengeti Boys leo imelazimishwa sare ya Kufungana bao 1 kwa 1 na Timu ya Taifa ya Uganda chini ya miaka 17.

Mchezo huo msomaji wa Kwataunit  ni Kwanza kwa Serengeti Boys katika Michuano ya CECAFA iliyoanza jana na Kuendelea leo huko nchini Burundi.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY