Masoud Djuma ataja anachojivunia kuelekea mchezo dhidi ya Prisons Kesho

Masoud Djuma ataja anachojivunia kuelekea mchezo dhidi ya Prisons Kesho

0

Masoud Djuma ataja anachojivunia kuelekea mchezo dhidi ya Prisons Kesho

Simba kesho siku ya Jumatatu April 16 2018 itashuka dimbani kucheza mchezo wa Ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons mechi itakayoanza saa kumi kamili katika nyasi za Uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam.

>> Ratiba VPL leo Hapa <<

Kuelekea Mchezo huo kocha Msaidizi wa Timu ya Simba  msomaji wa Kwataunit amesema anajivunia Kikosi chake kuwa katika Hali Nzuri na hakuna mchezaji hata mmoja ambaye anamajeruhi.

Huku akifurahishwa zaidi na Ushindani wa Namba kutoka kwa wachezaji wote waliopo kwenye Kikosi cha Simba.

“Sikia nikwambie kitu kikosi chetu kipo vizuri na Hakuna mchezaji mwenye matatizo kiafya hali hii inanifanya Nijivunie sana, Lakini pia Ushindani wa namba ni mkubwa wachezaji wanaopata nafasi na hata wasiopata nafasi wote wanajituma na Kufanya vizuri”

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY