Lechantre atoa ya Moyoni kuhusu Kiwango cha Mo Hussein “Zimbwe”

Lechantre atoa ya Moyoni kuhusu Kiwango cha Mo Hussein “Zimbwe”

0

Lechantre atoa ya Moyoni kuhusu Kiwango cha Mo Hussein “Zimbwe”

Kocha mkuu wa vinara wa Ligi Kuu soka ya Tanzania Bara Pierre Lechantre raia wa Ufaransa ameweka ya Moyoni kuhusu Kiwango cha mchezaji wake Mohammed Hussein “Zimbwe Jr”

Lechantre ambaye amekuwa ni muwazi kwa kila Kitu hata kama kitaumiza Mtu mwingine akikumbukwa alipomchana Mohammed Ibrahim kuhusu tabia yake ya Uvivu wa Mazoezi na Kuomba Ruhusa Mara kwa mara.

Safari Hii msomaji wa Kwataunit.com  ameweka wazi kuwa bado hajafurahishwa na Kiwango cha Mohammed Hussein Zimbwe Jr, akitolea Reference mchezo kati ya Simba na Prisons mchezo ambao Zimbwe alianza katika kikosi cha kwanza baada ya Muda Mrefu.

Pierre alisema Kiwango chake si kibaya lakini anashindwa Kujituma anapokuwa uwanjani.

“Tshabalala ni mchezaji mzuri sana lakini bado anashindwa kujituma napokuwa uwanjani, anatakiwa ku-
jitolea kwa ajili ya timu hasa kupandisha mashambulizi ingawa anauwezo mkubwa wakukaba na kupiga krosi,”

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY