Hii ndiyo Saplaizi aliyoifanya Lwandamina kwa Wachezaji wa Yanga Ethiopia

Hii ndiyo Saplaizi aliyoifanya Lwandamina kwa Wachezaji wa Yanga Ethiopia

0

Hii ndiyo Saplaizi aliyoifanya Lwandamina kwa Wachezaji wa Yanga Ethiopia

Siku kadhaa zilizopita Ilitangazwa kuwa Mwalimu wa timu ya Yanga George Lwandamina ameikimbia Yanga na kwenda zake huko Zambia kujiunga na timu ya ZESCO.

Lakini kuelekea mchezo wa Marudiano  kati ya Welayta Dicha na Yanga huko nchini Ethiopia kuna Taarifa ambazo zimetangazwa kupitia Kipindi cha Michezo Radio Free Afrika asubuhi ya Leo kuwa kuna Taarifa kuwa George Lwandamina ameungana na Timu kimya kimya  huko Ethiopia.

Kulingana na Taarifa hiyo msomaji wa Kwataunit.com  inadaiwa kuwa taarifa Hiyo imethibitishwa na Meneja wa Yanga Hafidh Saleh ambaye naye yupo na Timu huko Awassa Ethiopia.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY