Hii Hapa Post ya Haji Manara baada ya ushindi dhidi ya Prisons

Hii Hapa Post ya Haji Manara baada ya ushindi dhidi ya Prisons

0

Hii Hapa Post ya Haji Manara baada ya ushindi dhidi ya Prisons

Mara baada ya Mpambano kati ya Simba waliokuwa wenyeji wa Tanzania Prisons Uwanja wa Taifa msemaji wa Klabu ya Simba kama kawaida yake hajakaa Kimya.

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram  msomaji wa Kwataunit.com Haji Manara ameandika Ujumbe huu hapa Chini.

” Toka karne hii ianze ktk VPL haijawahi kutokea fowadi pacha kali kuliko ya Okwi na Boko…dadadadeki wote waliowaita wahenga…kwa pamoja wameweka kambani goli 33….SIMBA YETU,MWAKA WETU…habari ndio hyo ukinuna wahi toilet #SimbaScNguvuMoja#ThisIsSimba 🇲🇨🇲🇨🇮🇩🇮🇩 “

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY