Habari Mpya Kutoka Yanga Ethiopia na Kuhusu Kocha

Habari Mpya Kutoka Yanga Ethiopia na Kuhusu Kocha

0

Habari Mpya Kutoka Yanga Ethiopia na Kuhusu Kocha

Klabu ya Yanga imefika salama nchini Ethiopia na Leo itafanya mazoezi asubuhi na Baadaye Jioni hii ni Taarifa Kutoka kwa mwenyekiti wa kamati ya Usajili, Na Mwenyekiti wa kamati ya Mashindano Hussein Nyika.

Soma habari zaidi za Yanga >> HAPA <<

Timu ilifika vizuri hakuna tatizo lolote, Leo wachezaji watafanya mazoezi asubuhi na Jioni na Kesho siku ya Jumanne itafanya mazoezi katika uwanja ambao utatumika kwaajili ya Mchezo wa Jumatano.

Nani atakuwa Kocha Mkuu

Akiongea na kipindi cha Efm asubuhi ya Leo Hussein nyika amesema kuwa kati ya Kocha Noel na Nsajingwa Nyika amesema hakuna aliyerasimiwa kuwa Kocha Mkuu kwahiyo watashirikiana

” Wachezaji wameondoka na Noel Mwandila na Shadrack Nsajigwa, Hakuna kocha aliyerasimiwa kuwa kocha Mkuu kwahiyo watakuwa wanashauriana wakati huo viongozi Tunaangalia namna ya Kuweza Kunusuru hiyo Situation”

Lwandamina anaweza Kurejeshwa

Nyika alisema Pia wanaangalia namna ya Kumaliza Tatizo Hilo huku akiamini kuwa wanaweza Kumrejesha George Lwandamina ndani ya kikosi hiko.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY