Yanga yamtoa machozi kocha Township Rollers

  0

  Yanga yamtoa machozi kocha Township Rollers

  Mara baada ya Mchezo wa klabu bingwa barani Afrika  kati ya Township Rollers na Yanga kumalizika kwa sare ya bila Kufungana na Rollers kufanikiwa kutinga hatua ya Makundi Klabu Bingwa kocha wa Township Rollers Nicola Kovazovic alishindwa kabisa kujizuia.

  Kocha huyo msomaji wa kwataunit.com  alionekana kulia kwa furaha kutokana na kuivusha timu hiyo kwenye hatua ya Makundi klabu Bingwa, Kabla ya Hapo timu hiyo kongwe na kubwa zaidi nchini Botswana haikuwahi kufika hatua ya makundi.

  Siyo Rollers tu hakuna timu ya Botswana kabla ya hapo kuwahi kutinga hatua hiyo kwahiyo Nikola anakuwa kocha wa kwanza kuifikisha timu hiyo hatua hiyo ya Makundi.

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY