Wachezaji 20 wa Simba watakaokwenda Misri hawa hapa

Wachezaji 20 wa Simba watakaokwenda Misri hawa hapa

0
 • Kuelekea pambano kati ya Simba na All Masry March 17 huko Port Said Simba wametaja majina ya wachezaji 20 na Viongozi 7 na Mkuu wa Msafara kuelekea mchezo huo, Msafara utaondoka March 14 2018 kuelekea Misri ya na ¬†shirika la ndege la ¬†ETHIOPIA
 • Technical Bench
 • 1.Pierre lichantre
  2.Masoud Juma
  3.Muharam Mohammed
  4.Mohammed Aymen
  5.Dr Yassin Gembe
  6.Richard Robert (Team Manager)
  7. Yassin Mtambo (Kit Manager)
 • Wachezaji
  1.James Kotei
  2.Yusufu Mlipili
  3.Emanuel Okwi
  4.Laudit Mavugo
  5.Shomari Kapombe
  6.Said Hamisi
  7.Mohamed Hussein
  8.Asante Kwasi
  9.Erasto Nyoni
  10.Mzamiru Yassin
  11.Jonas Mkude
  12.John Bocco
  13.Paul Bukaba
  14.Mwinyi Kazimoto
  15.Shiza Kichuya
  16.Nicholas Gyan
  17.Said Mohamed’Nduda’
  18.Aishi Manula
  19.Juuko Murushid
  20.Juma Luizio
 • Mkuu wa Msafara ni Kaimu Rais wa Simba Dr Salim Abdallah

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY