Ukimuuliza Samatta Taifa Stars inahitaji kocha wa kigeni? atakujibu hivi

  0

  Ukimuuliza Samatta Taifa Stars inahitaji kocha wa kigeni? atakujibu hivi

  Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania anayecheza soka la Kulipwa nchini Ubelgiji katika klabu ya Genk ambaye jana aliiongoza Taifa Stars kupata Ushindi wa bao 2 kwa 0 huku akifunga goli moja na Kutoa Assist moja amefunguka kuhusu kama Stars Inamuhitaji kocha wa Kigeni.

  Samatta akiongea na waandishi wa Habari baada ya mchezo amefunguka na mara baada ya Kuulizwa Je Taifa Stars inahitaji kocha wa Kigeni ?

  Jibu la Samatta msomaji wa Kwataunit.com lilikuwa Fupi sana

  ” No Comment siwezi kulizungumzia Hilo “

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY