Ujumbe wa Faraja kutoka kwa Thaban Kamusoko asubuhi hii

  0

  Ujumbe wa Faraja kutoka kwa Thaban Kamusoko asubuhi hii

  Mara baada ya Kurejea katika Kikosi cha Kwanza cha Klabu ya Yanga katika mechi mbili moja ya Ligi Kuu na Nyingine ya Kimataifa Kiungo wa Yanga aliyekuwa Majeruhi kwa muda Mrefu Thaban Kamusoko ameandika Ujumbe asubuhi Hii.

  Kupitia Ukurasa wake wa Instagram msomaji wa kwataunit.com  Thaban Kamusoko ameandika. “Bit by bit its coming up..im happy with my progress”

  Bit by bit its coming up..im happy with my progress

  A post shared by Thabani Scara kamusoko (@thabani_scara_13) on


  Akimaanisha

  ” Kidogo kidogo naanza kurejea, Nina Furaha na  maendeleo Yangu ” “

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY