Thaban Kamusoko Atibua kikosi Yanga Uongozi wazungumza

  0

  Thaban Kamusoko Atibua kikosi Yanga Uongozi wazungumza

  Kiungo wa Klabu ya Yanga Thaban Kamusoko raia wa Zimbabwe ameonekana kuanza Kutibua Tena Kikosi cha Mwalimu George Lwandamina mara baada ya Kupata maumivu ya Msuli timu ikiwa Kambini mjini Morogoro.

  Kamusoko ambaye alishaanza Kuaminika kiasi cha Kucheza kwenye mechi mbili moja VPL na Moja ya Kimataifa klabu Bingwa Afrika na Kuonekana wazi kuwa ameanza kurejea Taratibu kwenye Ubora wake Kuumia kwake huenda kukatibua hesabu za Kocha George Lwandamina.

  Hata hivyo Uongozi wa Yanga kupitia kwa Meneja wake Hafidh Saleh msomaji wa Kwataunit alisema huenda leo Kamusoko akaendelea na mazoezi na wenzake mara baada ya jana kufanya akiwa peke yake kutokana na Juzi kupata maumivu ya Msuli.

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY