Taarifa kutoka kwa Daktari Simba muda ambao Mkude atakaa nje baada ya Kuumia

  0

  Taarifa kutoka kwa Daktari Simba muda ambao Mkude atakaa nje baada ya Kuumia

  Mara baada ya Uwepo wa taarifa za Kuumia Kiungo mkabaji wa Klabu ya Simba Jonas Mkude jioni Hii Klabu ya Simba imetoa taarifa ya Daktari kupitia kwa Afisa habari wake Haji manara.

  Haji Manara msomaji wa Kwataunit amesema ni Kweli Mkude kaumia lakini Jeraha lake siyo kubwa sana na Litamuweka Nje ya Uwanja kwa siku 2 mpaka 3 Tu.

  Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Manara ameandika kama Ifuatavyo

  “Ni kweli Top holding midfielder wa nchiĀ @jonasmkude20ameumia leo mazoezini.bt kwa mujibu wa Dr wetu.injury ya Jonas ni ndogo.na anasema maximum anaweza kuwa nje kwa siku mbili hadi tatu..hii ndio taarifa rasmi ya klabu toka kwangu… Nb..msemaji wa Simba ni mm Haji S Manara”

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY