Singida United wakanusha Danny Lyanga kufungiwa na FIFA waeleza kwanini hachezi

  0

  Singida United wakanusha Danny Lyanga kufungiwa na FIFA waeleza kwanini hachezi

  Mara baada ya kuwepo taarifa mitandaoni kuhusu FIFA kumfungia miezi 6 kutokana na kusaini timu mbili klabu ya Singida United kupitia kwa mkurugenzi wake Festo Sanga umekanusha Taarifa Hizo.

  “Mchezaji wetu Daniel Lyanga hajafungiwa na FIFA ila kilichotokea ni kwamba tulichelewa kupata kibali chake (ITC) Dirisha likawa limefungwa ”

  Kwa maelezo ya Mkurugenzi kinachosababisha Danny kutoonekana na Uzi wa Singida United ni kukosa hicho kibali cha Kimataifa kutoka Klabu yake ya Fanja.

  Sanga msomaji wa Kwataunit.com  amesema walifanya makubaliano na kumalizana na klabu ya awali ya Lyanga klabu ya Fanja  kila Document wanayo kuhusiana na usajili wake na wanategemea mwezi wa saba masuala yake ya Kibali yatakaa sawa.

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY