Simon Msuva awachana Mashabiki wa Aina Hii

  0

  Simon Msuva awachana Mashabiki wa Aina Hii

  Mchezaji wa Timu ya Diffaa El jadida ya Morocco ambaye pia ni mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Simon Msuva amewachana washabiki ambao wamekuwa wakienda Kimyume kidogo na hali ya kawaida.

  Msuva msomaji wa Kwataunit amewaambia mashabiki ambao wanaenda Uwanjani kuzomea au kushangilia mchezaji mmoja mmoja badala ya Kushangilia Timu nzima.

  ” Washabiki¬† kazi yao ni kushangilia sisi kazi yetu ni uwanjani, Nawaomba wanapokuja uwanjani wawe wanajua wanakuja kufanya kitu gani wasije kumzomea mchezaji au kumshangilia mchezaji Mmoja mmoja maana hii ndiyo timu yao ya taifa hakuna timu nyingine “

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY