Robo Fainali UEFA kila kitu Hadharani

  0

  Robo Fainali UEFA kila kitu Hadharani

  Ile Ratiba iliyokuwa ikisubiriwa na watu wengi ya robo fainali ya UEFA champions League imetoka mara baada ya Droo kuchezeshwa

  Mara baada ya Droo Hiyo Kuchezeshwa Barcelona ataanza nyumbani dhidi ya Roma.

  Sevilla aliyemwondosha Manchester United ataanzia Nyumbani dhidi ya Bayern Munich.

  Juventus ataanzia Nyumbani dhidi ya Mabingwa watetezi Real Madrid wakati Robo Fainali nyingine Liverpool akianzia Nyumbani dhidi ya Manchester City.

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY