Ratiba na muda kamili Robo Fainali Azam Sports Kesho Jumamosi 31 March 2018

  0

  Ratiba na muda kamili Robo Fainali Azam Sports Kesho Jumamosi 31 March 2018

  Baada ya Ijumaa Kushuhudia STAND United wakitinga katika hatua ya Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup kwa Kuitoa Njombe Mji mara baada ya Kupata ushindi wa bao 1 kwa 0 Azam Sports Jumamosi itaendelea kwa mechi 2.

  Mechi ya kwanza itakuwa ni kati ya Tanzania Prisons ya jijini Mbeya ambao watakuwa wenyeji wa JKT Tanzania zamani wakijulikana kama JKT Ruvu, Mechi hiyo msomaji wa Kwataunit.com Itaanza Mapema zaidi majira ya saa nane mchana.

  Mechi nyingine kwa siku ya Jumamosi itazingutanisha Azam Fc watakaokuwa wenyeji wa Mtibwa Sugar kutoka Morogoro mechi hiyo itachezwa katika uwanja wa Chamazi kuanzia majira ya saa mbili usiku.

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY