Ratiba ligi kuu Tanzania bara VPL leo jumanne March 13 2018

  0

   

  Ratiba ligi kuu Tanzania bara VPL leo jumanne March 13 2018

  Ligi kuu Soka ya Tanzania bara ambayo Jana iliendelea kwa mchezo mmoja kati ya Yanga na Stand United Yanga ikishinda kwa bao 3 kwa 1 Leo Mbungi itaendelea kwa mchezo mmoja.

  Mchezo huo msomaji wa kwataunit.com Itakuwa kati ya wenyeji Kagera Sugar dhidi ya Mwadui Fc mchezo ukichezwa katika uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.

  Hali ya timu katika msimamo

  Kagera Sugar ambao msimu huu halinyao siyo nzuri sana wao wapo katika nafasi ya 14 kati ya timu 16 katika msimamo wakiwa na points zao 18 wakati Mwadui wakiwa katika nafasi ya 12 wakiwa na Points 20.

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY