Post ya Haji Manara baada ya ushindi wa Stars,Amsifu zaidi mchezaji Huyu

  0

  Post ya Haji Manara baada ya ushindi wa Stars,Amsifu zaidi mchezaji Huyu

  Mara baada ya Ushindi wa Tanzania /Taifa Stars dhidi ya Congo DRC Ushindi wa bao 2 kwa 0 Haji Manara amemwagia Sifa nyingi Shiza Kichuya kuwa yeye ni zaidi ya Mashine anapokuwepo uwanjani.

  Haji Manara msomaji wa Kwataunit.com ameandika Maneno haya kupitia Ukurasa wake wa Instagram.

  ” Shiza Kichuya anaendelea kuprove kuwa yy ni zaidi ya mashine uwanjani..anajituma to the maximum..asipofunga ataassist..dunia pia imeshuhudia muunganiko murua zaid baina @kichuya_ capatenho @samagoal77na New @msuva27 ..Heko Taifa Stars na hongera watanzania wote 🇹🇿🇹🇿 @tanfootball 🙏👏 “

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY