Post ya Haji Manara baada ya Simba kutolewa Kimataifa

  0

  Post ya Haji Manara baada ya Simba kutolewa Kimataifa

  Mara baada ya Mnyama Simba Kutolewa Kimataifa na Timu ya Al Masry kutoka nchini Misri kufuatia sare ya Bila Kufungana Afisa habari wa Simba Haji Manara ametoa neno baada ya mchezo huo.

  ameandika wamefanya waliyojaaliwa lakini mpangaji wa kila kitu ni Mungu sasa wanarudi ligi Kuu.

  Kupitia Ukurasa wake wa Instagram msomaji  wa kwataunit Manara ameandika Haya.

  ” Tumefanya tuliyojaaliwa lakini mpangaji wa kila kitu ni Manani…jitihada hazishindi kudra..tunarudi nyumbani tukiacha heshma kubwa ya klabu na nchi kwa ujumla Misri…sasa nguvu yetu ipo ktk VPL…..Asante kwa dua na Sala zenu..Bravo SSC 🙏🙏 #SimbaScNguvuMoja#ThisIsSimba 🇲🇨🇲🇹 “

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY