Post ya Haji Manara baada ya Simba kutoa sare na Mwarabu

  0

  Mara baada ya Dakika 90 za Mchezo kati ya Simba na Al Masry kumalizika kwa sare ya bao 2 kwa 2 Simba Ikianza Kufunga kwa penati kupitia kwa Bocco na Kisha Al Masry kusawazisha na Kuongeza bao jingine na Simba kusawazisha kupitia kwa Okwi kipindi cha Pili.

  Msemaji wa Klabu ya Simba Haji Manara ameshuka na Ujumbe Huu mara baada ya sare Hiyo.

  ” Kando ya Mwenyezimungu na wachezaji,hakuna anayestahili Shukran kama mashabiki mliokuja leo Taifa,mmetimiza wajibu wenu….Heshima ya nchi imelindwa🙏🙏 #SimbaScNguvuMoja #ThisIsSimba 🇵🇪🇵🇪🇵🇱 “

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY