Post ya Haji Manara mara baada ya Niyonzima,Tambwe na Kamusoko kufanya mazoezi pamoja

  0

  Post ya Haji Manara mara baada ya Niyonzima,Tambwe na Kamusoko kufanya mazoezi pamoja

  Mara baada ya video kusambaa inayowaonyesha wachezaji wa timu mbili pinzani Yanga na Simba kuonekana wakifanya mazoezi kwa Pamoja Gym Haji Manara ametia Neno kuhusu kitendo hiko.

  Wachezaji hao Haruna Niyonzima ni wa Simba ambaye alitokea Yanga na Kuijiunga na Simba akicheza Yanga msimu uliopita na Kuijiunga Simba Msimu huu na Wachezaji wa Yanga Kamusoko na Tambwe.

  Akitumia Ukurasa wake wa instagram Haji Manara msomaji wa Kwataunit.com ameandika Haya.

  “Very nice..hawa ni pro hasa..wanacheza timu shindani kwenye Soka nchini..wanatoka mataifa tofauti..lakini wapo Gym pamoja…hii ndio Soka..always nawaambia Simba na Yanga ni washindani wa dak 90 na watani wa jadi tu..chuki za kijinga zinaletwa na washamba walozijua hz timu FB. WhatsApp na Instagram..niwatakie heri magwiji wetu…. @thabani_scara_13@tambwe17 @niyonzimaharuna”

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY