Muda wa Mechi Algeria vs Tanzania kwa muda wa Tz leo 22 March 2018

  0

  Muda wa Mechi Algeria vs Tanzania kwa muda wa Tz leo 22 March 2018

  Leo kutakuwa na Mchezo wa Kirafiki kati ya Timu ya Taifa ya Algeria dhidi ya Tanzania Mchezo wa Kirafiki ulio kwenye kalenda ya FIFA.

  Mchezo huo kwa Tanzania ni MUHIMU kuhakikisha wanasogea juu kwenye viwango vya FIFA wakati ikiwa ni hivyo hivyo kwa Algeria lakini malengo makubwa ya Algeria ni kutafuta wachezaji wa kuongezea kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Algeria yenye nyota wanaocheza Nje.

  Mchezo huo msomaji wa Kwataunit.com utaanza majira ya saa mbili na nusuĀ  Usiku (2030 Hours) kwa muda wa Afrika Mashariki (East African Time) Tanzania Ikiwemo.

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY