Msuva anatakiwa na Timu kutoka Nchi hizi 3 Ulaya, Baba yake ataka nchi hii

  0

  Msuva anatakiwa na Timu kutoka Nchi hizi 3 Ulaya, Baba yake ataka nchi hii

  Baba yake Simon Msuva amefichua Siri kuwa Mwanaye Huenda asimalize miaka yote mitatu ndani ya klabu ya ya Diffaa El Jadida inayoshiriki ligi kuu ya Morocco na Imeshatinga hatua ya Makundi Klabu Bingwa Barani Afrika.

  Baba Msuva mzee HappyGod Msuva ametaja nchi ambazo zinamwitaji Msuva Ni nchi za barani Ulaya  Uturuki, Hispania na Ufaransa.

  “Yeye mwenyewe amewahi kutueleza kuwa kuna timu mbalimbali barani Ulaya kama Uturuki, Ufaransa na Hispania zinamwitaji hata mwalimu wake na rais wa Timu walielezea kuwa Msuva anaweza akaondoka ila wanasubiria uamuzi wake. “

  Baba yake pia msomaji wa Kwataunit.com amesema licha ya Kuwa hana kipingamizi sana juu ya Nchi ambayo angependa Msuva aende barani Ulaya yeye binafsi anapendelea zaidi Msuva aende Ufaransa au Hispania.

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY