Mechi ya Simba vs Yanga mzunguko wa Pili sasa kuchezwa tarehe hii

  0

  Mechi ya Simba vs Yanga mzunguko wa Pili sasa kuchezwa tarehe hii

  Mara baada ya tarehe ya awali iliyokuwa imepangwa kuchezwa mechi kati ya Simba na Yanga April 7 mwaka huu kuahirishwa kutokana na Yanga kuwa na ratiba Kimataifa Tarehe nyingine kwa taarifa za Uhakika Imeshapangwa.

  Kulingana na Afisa Habari wa Timu Ya Yanga Dismas Ten akimjibu Haji Manara kupitia Instagram kuhusiana na Manara kuiponda Yanga kutokana na Kufeli kwenye jarida lao, Ten amejikuta akiitangaza na tarehe ya Mechi Hiyo.

  Katika Majibu yake Dismas  Ten msomaji wa Kwataunit  Aliandika caption Hii

  “Maisha hayakosi changamoto..! Unapomcheka mwenzio kwa sababu hajafanikiwa ni vyema ukaonyesha ulichonacho wewe..!
  #tukutaneMay30 
  #hawakusematukumbeiliwaumasana
  #nasisiwatu

  Na akaandika Hashtag ya Tukutane May 30, Hii ndiyo tarehe ambayo bila shaka Yanga na Simba zitakutana katika uwanja wa Taifa.

  >> Soma habari zetu hapa <<

  Kwani majibu alikuwa anayatoa kwa Haji Manara ambaye aliiponda Yanga kufeli kwa Jarida lao naye akamjibu na Kumuahidi wakutane May 30, Taarifa za Uhakika zaidi usisite kuendelea kutembelea mtandao wetu wa kwataunit.com kila wakati kila Siku.

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY