Mechi ya Simba na Yanga April 7 Yaota Mbawa Hizi ndizo mechi 2 zinazofuata Simba

  0

  Mechi ya Simba na Yanga April 7 Yaota Mbawa Hizi ndizo mechi 2 zinazofuata Simba

  Ile mechi iliyokuwa ikisubiriwa kwa Hamu kubwa kati ya Simba na Yanga April 7 2018 sasa ni wazi haitakuwepo kutokana na Ratiba ya Yanga Kimataifa.

  Yanga ambayo itatakiwa kucheza mchezo wake wa Kwanza Kombe la Shirikisho kati ya April 6 mpaka 8 ndiyo sababu ya Mchezo huo kati ya Simba na Yanga kutochezwa.

  Mechi mbili ambazo zitafuata kwa Simba.

  Mara baada ya kutoka katika michuano ya Kimataifa Mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu Klabu ya Simba Itacheza mchezo wake April 3 2018 dhidi ya Njombe Mji katika uwanja wa Sabasaba mjini Njombe.

  Mchezo utakaofuata msomaji wa Kwataunit utakuwa ni kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Simba nao ukichezwa UgeniniĀ  8 april 2018 uwanja wa Jamhuri Morogoro.

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY