Matokeo Yanga vs Stand United March 12 2018(12.3.2018)

Matokeo Yanga vs Stand United March 12 2018(12.3.2018)

0

Matokeo Yanga vs Stand United March 12 2018(12.3.2018)

Matokeo Yanga vs Stand United Leo March 12 2018 mechi ikichezwa kuanzia majira ya SAA kumi kamili muda wa Afrika Mashariki

Yanga 3 – 1 Stand United

Full time

85 ‘ Yanga 3 – 1 Stand United

Chirwa anafunga bao la tatu sekunde chache baada ya Stand kufunga bao 1

Yanga anamtoa Ajibu na Raphael Daud wanainhia Mahadhi na Emmanuel Martin

Dakika ya 73 Chirwa anakosa goli la wazi

Dakika ya 70 Rostand anadaka mpira mchezaji wa Stand akiwa ana kwa ana na yeye

58′ mechi inaendelea bado Yanga anaongoza bao 2 kwa 0

56′ Rostand huko chini baada ya kuumia

Yanga 2 – 0 Stand United

Dakika ya 50

Kipindi cha Pili kimeanza

Mpira ni mapumziko Yanga 2 Р0 Stand  United

40’ Yanga 2 – 0 Stand United

Gadiel Michael amerudi uwanjani baada ya kutibiwa

Dakika ya 33 Gadiel anachezewa faulo yupo uwanjani anatibiwa

Dakika ya 20 bado Yanga anaongoza kwa goli mbili

Yanga 2 – 0 Stand United

Dakika ya 11 Ibrahim Ajib anafunga bao kwa assist ya Maka Edward ni goli la 7 kwa Ajibu

Yanga 1 – 0 Stand United

Dakika ya 6 Yusuph Mhilu anaipatia Yanga bao la Kuongoza

Yanga 0 – 0 Stand

Mechi Umeanza

Kikosi cha Stand United dhidi ya Yanga leo 12.3.2018

 1. Mohammed Makaka
 2. Aron Lulambo
 3. Miraji Adam
 4. Ally Ally
 5. Eric Kuliko
 6. Jiseno Mathias
 7. Bigirimana Blaise
 8. Abdul Swamad
 9. Tariq Seif
 10. Ndikumana Suleiman
 11. Vitalis Mayanga

Wachezaji wa akiba

 1. Frank Muwonge
 2. Juvenaly Pastory
 3. Abdallah Juma
 4. Ismail Gambo
 5. Sixtus Sabilo
 6. Makenzi Kalinga
 7. Ally Mabrouk

Kikosi cha Yanga kinachoanza dhidi ya Stand United leo 12.3.2018

 1. You the Rostand
 2. Juma Abdul
 3. Gadiel Michael
 4. Said Makapu
 5. Kelvin Yondani
 6. Maka Edward
 7. Yusuph Mhilu
 8. Pius Buswita
 9. Chirwa Obrey
 10. Raphael Daud
 11. Ibrahim Ajibu

Wachezaji wa akiba

 1. Ramadhan Kabwili
 2. Hassan Kessy
 3. Haji Mwinyi
 4. Abdallah Shaibu
 5. Juma Mahadhi
 6. Thaban Kamusoko
 7. Emmanuel Martin

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY