Matokeo Township Rollers vs Yanga leo March 17, 2018

  0

  Matokeo Township Rollers vs Yanga leo March 17, 2018

  Matokeo Klabu Bingwa barani Afrika, Klabu bingwa nchini  Botswana timu ya TownShip Rollers maarufu kama The Blues dhidi ya Dar Es Salaam Young Africans Yanga ya Tanzania Live Kutokea .

  Rollers 0 – 0 Yanga, Aggregate Rollers 2 – 1 Yanga

  Full time

  88 ‘ kwa upande Rollers ndiyo kadi ya Pili inatopewa bado ni 0 kwa 0

  80′ Andrew Vicent naye anapewa kadi ya njano

  79′ Chirwa anapiga Kichwa ambacho kinatoka nje kidogo ya Goli

  76 Obrey Chirwa anapewa kadi ya Njano wao wanakadi moja tu ya Njano

  71′ Chirwa almanusra aipatie Yanga bao la Kuongoza lakini Inashindikana bado ni 0 kwa 0

  69′ Mwashiuya anaingia kuchukua nafasi ya Yusuph Mhilu

  Kamusoko ametoka ameingia Ibrahim Ajibu

  Dakika ya 60 Youthe  Rostand anaonekana  kulinda vyema lango lake

  Dakika ya 55 Rollers 0 – 0 Yanga

  Kipindi cha Pili Township Rollers wanaonekana kuchachamaa nankushambulia lango la Yanga

  Kadi ya Njano kwa Tshishimbi

  48′ Rollers 0 – 0 Yanga

  47’ Buswita naye anakula kadinya Njano

  Kipindi cha Pili kimeanza

  Half Time Rollers 0 – 0 Yanga

  Lwandamina anaonekana kulalamika Juu ya Mwamuzi na Mwamuzi yake

  Rollers 0 – 0 Yanga

  Dakika ya 35 Kelvin Yondani naye anapewa kadi ya njano

  Dakika ya 28 Said Makapu anapewa kadinya njano

  Timu zinaonekana kushambuliana kwa zamu bado 0 kwa 0 mpaka dakika ya 24.

  Dakika ya 20 bado 0 kwa 0

  Dakika ya NNE bado mambo magumu

  Township Rollers 0 – 0 Tshishimbi

  Mpira uumeanza Botswana

  Timu ziko uwanjani zikisubiri kusalimiana na mgeni rasmi

   

  SOMA ZAIDI HABARI ZETU HAPA <<

  > LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU BONYEZA HAPA <

  Kikosi cha Yanga dhidi ya Township Rollers leo 17 March 2018

  Hiki Ni Kikosi cha Yanga kinachoanza dhidi ya Township Rollers mechi ya marudiano klabu Bingwa barani Afrika leo March 17 2018.

  Kikosi cha Kwanza (First Eleven ya Yanga leo Hii Hapa)

  1. Youthe Rostand
  2. Juma Abdul
  3. Gadiel Michael
  4. Vicent Andrew
  5. Kelvin Yondani
  6. Said Makapu
  7. Yusuph Mhilu
  8. Papy Tshishimbi
  9. Obrey Chirwa
  10. Pius Buswita
  11. Thaban Kamusoko

  Mshambuliaji Ibrahim Ajibu anaanzia benchi kama ambavyo Inaonekana katika wachezaji wa Akiba hapo chini.

  Wachezaji wa Akiba

  1. Ramadhan Kabwili
  2. Abdallah Shaibu
  3. Nadir Haroub
  4. Juma Mahadhi
  5. Raphael Daud
  6. Ibrahim Ajibu
  7. Geofrey Mwashiuya

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY