Matokeo Ligi ya wanawake JKT waendelea kutoa vichapo,Simba Hoi

  0

  Matokeo Ligi ya wanawake JKT waendelea kutoa vichapo,Simba Hoi

  Timu ya wanawake ya JKT, JKT Queens imeendelea kuwa mwiba kwa timu nyingine zinazoshiriki ligi kuu ya wanawake hatua ya 8 bora mara baada ya kuwatandika bila huruma timu Baobab kutoka Dodoma bao 6 kwa 0.

  Nao Alliance Girls kutoka jijini Mwanza wamefanikiwa kuwafunga Simba Queens bao 1 kwa 0 Katika mchezo ambao Alliance alikuwa Mwenyeji

   

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY